Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
[emoji2][emoji2][emoji2] jirani umeibukia wapi ase
Umeona second half ilivyokua fire?Game ni nzuri kiasi chake
Pep kama kawaida yake hakoseagi na Mwarabu alivyo hana moyo wa uchoyo ndio basi tenaNaona pep Anafanya mabalaa tu ya usajili Manchester city ni tishio sana
Hili shambulizi lako jirani ni [emoji119][emoji119],,minuso itakapo karbia tutapeana taarifa jirani[emoji16][emoji16][emoji16]Hiyo “Noted” jirani, imenikurupusha. Si unajua tena sisi WAGUMU kazi yetu ni kuvizia minuso! [emoji16][emoji16]
Naona sasa tunawamudu waarabu!100' Senegal 1 vs 0 Tunisia
Umeona second half ilivyokua fire?
Bado wanasumbua bro, goli jenyewe sasa vichekeshoNaona sasa tunawamudu waarabu!
Hakika yale ni masiara mzee, uzembe wa hali ya juuNaona kipa wa Tunisia analeta masiara kwenye kazi
Na kwako pia