Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Asee, timu zote zinamtaka?
 
Alikuwa level nyingine kabisa Liverpool lakini akang’ang’ania kwenda BARCA pamoja na kujua alikuwa hayumo kwenye 1st 11. Sijui kama atarudi kwenye kiwango alichokuwa nacho Liverpool.

Kautinyo na neima akili zao kama miguu ya messi akiwa argentina. Vijamaa hivi viwili vinatakiwa vijumuishwe na wanyama kule burigi kupewa somo la kuishi na wanadamu vizuri na kufundishwa kuwa tamaa ni mbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…