Naikumbuka bro,avatar mujaraabu kabsa ilikuwaUnaikumbuka hii avatar bro?
Wakubwa wanafaudu [emoji16][emoji16][emoji16]
Mapanki na samaki hawa wa kuokwa kwa Moshi ni tofauti Numby,,Ushasikia mapanki basi ndo hao
Duh sie tunaita hivyo. Enzi hizo kuna mgen alikuja kututembelea akakuta mboga ni hii akashangaa hee kumbe zinaliwaga.Mapanki na samaki hawa wa kuokwa kwa Moshi ni tofauti Numby,,
Ati Moudy unasemaje? unazijua hot chicken wings zilivyo tamu!
View attachment 1155015
Itabidi nikomae na TECNO yangu tu kwa kweli. Mambo ya kuwa lege lege haya wala siyo powa [emoji16][emoji16][emoji16]Lakini nadhani umeona utafiti wa jamaa hapo juu, anadai ukiwa nayo muda mwingi mtoto wa kiume unakuwa lege lege[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]