Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hivi huyu shangazi naye ni timu Mdee ama? Sijawahi kuona picha yake akiwa na familia yake au bae.@CapitalpoolView attachment 1155111
Shukran Bro,kwa kuongezea neno juu ya hawa samakiUko sahihi bro. Mapanki yalihusika hata kwenye ile kashfa iliyotokana na documentary fulani iliyohusisha viwanda vya Wahindi vya kusindika samaki vilivyokuwa vinachukua minofu na kubakiza mifupa na vichwa ndiyo wazawa wanakula tena mara nyingine vikiwa vimeanza kuharibika.
Hawa ni samaki wanavuliwa halafu wanakaushwa kwa moshi kiufundi. Ukikuta wamepikwa vizuri wakatiwa tumafuta twa nazi, tukaranga tulitosagwa, tumaziwa tubichi na vimchicha pembeni aisee utafaudu sana...
Juzi kati pia Numby alimuuliza Capitalpool swali hilo hilo,jibu likawa hana taarifa zozote za kumhusu Shangazi kama ana watoto ama ana mume....Hivi huyu shangazi naye ni timu Mdee ama? Sijawahi kuona picha yake akiwa na familia yake au bae.
Documentary ile inatoka ulikuwa bado dogo? Dogo kiasi gani? Jizazi...[emoji16][emoji16][emoji16]Shukran Bro,kwa kuongezea neno juu ya hawa samaki
Kama ulivyosema hapo juu,watiwe tui la nazi na karanga,balaa lake sio la kitoto lazima ubaki na kumbukumbu nzuri..
Kipindi kile cha ile documentary nilikuwa bado dogo,ila nimekulia jirani na mazingira ya viwanda hivyo vya Wahindi,hasa Vicfish pale Voil mitaa ya Igogo,,naelewa kila kitu
Hebu siku mchukue umpeleke Buffalo Wild Wings umuodee zile hot hot kabisa! [emoji16][emoji16]
[emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818]Juzi kati pia Numby alimuuliza Capitalpool swali hilo hilo,jibu likawa hana taarifa zozote za kumhusu Shangazi kama ana watoto ama ana mume....
#AkiliZaKuambiwaChanganyaNaZako Bro
Huyo mgeni wa mwenyeji mloweaji nimezaliwa nikamkuta.Mapanki hawana minofu Numby,ni wale samaki ambao wanakuwa wameshatolewa minofu kwenye viwanda vya samaki,ndio wanaitwa Panki
Ila hawa wa kuokwa kwa moshi ni samaki wazuri sana na wana bei sana
Huyo mgeni atakuwa hakuwa mwenyeji wa kanda ya ziwa
Btw aina hii ya samaki huwa nawapenda sana,unaweza kula ugali mlima ukiwa na samaki hawa [emoji23][emoji23]
πππ Moudy Katibu anatupa kideti cha vyuku!Hebu siku mchukue umpeleke Buffalo Wild Wings umuodee zile hot hot kabisa! [emoji16][emoji16]