Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Huyo mgeni wa mwenyeji mloweaji nimezaliwa nikamkuta.
Eneo nililopo wenye bei sana ni hawa wa kupimwa na rula hasa sato. Ila hao mabambala bei poa kabisa
Kula ugali mlima kwa hao samaki upo vizuri mno.
[emoji16][emoji16][emoji16] Moudy Katibu anatupa kideti cha vyuku!
Yaani naonaga kama mende!Enswa...Protini kibao [emoji16][emoji16]
View attachment 1155165
Kumbikumbi siku hizi adimuEnswa...Protini kibao [emoji16][emoji16]
View attachment 1155165
Wa kishuuuuuaaaaYaani naonaga kama mende!
mark fish
Nimeku-demoteWe nae, mimi Mwenyekiti bana! [emoji16][emoji16]
Kupima kwa rula si ilikuwa kiki kipindi fulani jamaa wakaingia mpaka mjengoni na rula eti wanapima samaki. Ni zoezi endelevu hili?Sato wanapimwa na rula? Huu uvuvi huu itabidi nianze kuufanyia tuition; mabambala! [emoji16][emoji16]
Sauzi kule ni hatari ajabu...mark fish
nimezikumbuka stika za wachezaji miaka ileeeeeeee pindi unaponunua ubani ndio unazipata.
pumzika kwa amani bwana samaki
Aisee!
Nimeku-demote
Utotoni hawa tumewala sana. Mtu mpaka unabeba kwenda nao shuleni kama snack [emoji16][emoji16][emoji16]Yaani naonaga kama mende!
[emoji818][emoji818][emoji818][emoji818]Wa kishuuuuuaaaa
Ilibakia kidogo tu aunguze picha. Kama ile ishu yako na Madilu Multisystemé [emoji16][emoji16][emoji16]ka ningendako hahahaha
unahangaika kutafuta maisha kwa jasho lako mwenyeo then anatokezea fala mwenye wivu wa ******* anautoa uhai wako.Sauzi kule ni hatari ajabu...
Walimcharaza Lucky Dube hivi hivi pia...
Sad....
Nimeona tu kwenye group moja la Whatsapp huko wakijadili kuwa ni Mark Fish...Mambo ya mtandaoni haya...unahangaika kutafuta maisha kwa jasho lako mwenyeo then anatokezea fala mwenye wivu wa ******* anautoa uhai wako.
mbona BBC wameandika aliyefariki ni Marc Batchelor:
Marc Batchelor: South African former footballer shot dead
South African former footballer Marc Batchelor is shot dead near his home in Johannesburg.www.bbc.com
Nimeshitukia issue Bro,nilikuwa naingia mzima mzima[emoji16][emoji16][emoji16]Ilibakia kidogo tu aunguze picha. Kama ile ishu yako na Madilu Multisystemé [emoji16][emoji16][emoji16]