Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna taarifa nyingi tunazoweka kwenye mtandao; lakini je, sasa ni wakati wa kuweka mipaka juu ya ni lipi la kuweka na kutoweka kwenye mitandao? Ndiyo; huu ni wakati sahihi. Hivyo basi, tambua vitu 11 ambavyo haupaswi kuviweka kwenye mitandao ya kijamii.
 
Tarehe kamili ya kuzaliwa

Wakati mwingine unaweza kuvutiwa na namna marafiki zako wanavyoweka taarifa za kuzaliwa kwenye mtandao, au hata misisitizo ya mitandao ya kijamii kama vile Facebook juu ya kukamilisha akaunti yako kwa kuweka tarehe ya kuzaliwa.
 
Kuweka tarehe halisi au kamili ya kuzaliwa kwenye mitandao ya kijamii kunaweza kutoa mwanya kwa wahalifu kupata taarifa zako muhimu na hata kufungua au kuingilia akaunti zako zinazotumia tarehe yako ya kuzaliwa.
 
RIP....Cancer na stroke zimepamba moto. Hata kufikisha 40 - 50 inataka kuwa shida pamoja na ujuzi wote wa tiba. Hata sijui tatizo ni nini...
 
Kuweka tarehe halisi au kamili ya kuzaliwa kwenye mitandao ya kijamii kunaweza kutoa mwanya kwa wahalifu kupata taarifa zako muhimu na hata kufungua au kuingilia akaunti zako zinazotumia tarehe yako ya kuzaliwa.
kosa la kwanza nimeshafanya kupitia JF
kila ninapopata muda nabadilisha setting zangu kwenye email ili niondoe taarifa zangu za ukweli.
 
Hahaha aisee,kila kitu ni mipango ya Mungu Bro,huwez jua ungezaa mapema pia usingefika hapo ulipofikia..

Everything happens for a reason Bro!!!
Hebu niondolee busara zako za kiandaeitini hapa. Mtu unazaa uko 30+ hata sperms zimeanza kupoteza umwamba si ufala huo?

Niwache [emoji36][emoji36]
 
Unaweza kuweka taarifa halisi nusu badala ya kuweka taarifa zote kamili. Mf. Kama umezaliwa 20/10/1990 ukaweka tarehe 20/10/1970 au 20/05/1820, n.k.
[emoji817][emoji817][emoji817][emoji818][emoji818][emoji818]. Wajanja wakijua tu jina lako halisi na tarehe yako halisi ya kuzaliwa tayari wanaweza kujaziliza na hatimaye kupata habari zako zote.
 
Tumepoteza muda mwingi sana kwenye kusoma. Ningejanjaruka nikazaa wakati niko 20 dogo angekuwa na umri kukuzidi bro [emoji16][emoji16][emoji16]
Bro ungemtesa tu mwanao hebu fikiria mazingira kwanza kisha anza kjaribu kujilaumu hadi aibu. Ni impossible mission. Kuna ndugu zangu walijanjaruka mapema ila malezi wakakimbia full kukana watoto leo hii hali kama baba diamond vile
 
Eneo ulipo kwa wakati husika

Kuna uwezekano unapoweka chapisho (post) mtandaoni likaonyesha pia eneo ulilopo; hii linategemeana na mpangilio wako wa faragha. Pia watu wenyewe wamekuwa wakionyesha wako maeneo gani katika machapisho (post) zao mbalimbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…