Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Amber Rutty anazidisha jamani kha !!!Maisha binafsi au ya faragha
Kuna ulimbukeni umeibuka siku hizi, hasa kwa wakina dada wa kuweka picha na video mbalimbali wakiwa faragha.
Kuna amber lulu pia nasikia katoa pilau yakeAmber Rutty anazidisha jamani kha !!!
Bila kumsahau role model wangu uwiii bila picha na video siku haiendiAmber Rutty anazidisha jamani kha !!!
Waajiri wengi sasa wanataka online profiles za waomba kazi. Wanasema kwamba mtandaoni watu hujiachia sana na kuweka uhalisia wao hasa. Sasa ndo mtu ukutwe huko ni kuporomosha matusi tu na kubinua kalio dah...Nakumbuka siku moja nilikuwa naomba kazi fulani kutoka kwa wazungu; nakumbuka walitaka pia akaunti zangu zote za mitandao ya kijamii palepale. Fikiri ningekuwa naweka picha za ngono au za ajabu ajabu; ingekuwa aibu wala kazi nisingepata.
Kama mie hope JF wananilindaWaajiri wengi sasa wanataka online profiles za waomba kazi. Wanasema kwamba mtandaoni watu hujiachia sana na kuweka uhalisia wao hasa. Sasa ndo mtu ukutwe huko ni kuporomosha matusi tu na kubinua kalio dah...
Vijana wengi hawajalijua hili na litawacost sana huko mbele ya safari.
Sema siku hizi mambo haya siyafuatilii ningekuwa nimeshainyaka. Halafu Amber Lulu mzuri bila shaka pilau yake itakuwa maridadi ajabu siyo kama Amber Rutty [emoji16]Kuna amber lulu pia nasikia katoa pilau yake
Bahati mbaya ya amber ruty sijawah iona maana kila mtu anaipondea hee nisije shindwa kula mieSema siku hizi mambo haya siyafuatilii ningekuwa nimeshainyaka. Halafu Amber Lulu mzuri bila shaka pilau yake itakuwa maridadi ajabu siyo kama Amber Rutty [emoji16]
Waajiri wengi sasa wanataka akaunti za FB, IG na Twitter. Huko hata kama unatumia jina bandia as long as umetumia namba ya simu ile ile kujiunga nadhani wanaweza wakagundua tu kama una akaunti za siri hasa kama kazi unayoomba ni nyeti.Kama mie hope JF wananilinda
Kama hii mpya usiiangalie. Mbolea wazi wazi uchafu na ufirauni wa kutia kinyaa sana. Mi nilishindwa hata kumalizia.Bahati mbaya ya amber ruty sijawah iona maana kila mtu anaipondea hee nisije shindwa kula mie
Ahaa kumbe huko sina wasiwasi maana pote sina accountWaajiri wengi sasa wanataka akaunti za FB, IG na Twitter. Huko hata kama unatumia jina bandia as long as umetumia namba ya simu ile ile kujiunga nadhani wanaweza wakagundua tu kama una akaunti za siri hasa kama kazi unayoomba ni nyeti.
Yupi huyo? Mama wa shoka kutoka Uganda ama?Bila kumsahau role model wangu uwiii bila picha na video siku haiendi
Aiseee bora hata sijaifatilia. Binti kuna nati flan zitakua hazijakaza au zimechomokaKama hii mpya usiiangalie. Mbolea wazi wazi uchafu na ufirauni wa kutia kinyaa sana. Mi nilishindwa hata kumalizia.
Hahaha broHebu niondolee busara zako za kiandaeitini hapa. Mtu unazaa uko 30+ hata sperms zimeanza kupoteza umwamba si ufala huo?
Niwache [emoji36][emoji36]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ..