Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Zingatia haya

Kama ni mpenzi wa rangi za kucha hakikisha umesafisha kucha zako kwa kutumia remover. Angalizo: Jitahidi kutumia acetone-free remover, sababu acetone inazifanya kucha kuwa kavu na ngozi inayoizunguka kuwa kavu pia.
 
Moisturize moisturize miguu kila siku. Paka lotion au foot cream kama utaratibu wako wa kila siku. Njia rahisi ambayo hata mimi naitumia ni kupaka mafuta/vaseline kwenye miguu yangu kabla ya kuingia kitandani hii inagurantii kuifanya miguu asubuhi iwe laini na nyororo
 
Jeans zilizo chanwa chanwa (ripped jeans) zina pendwa sana lakini tatizo ni moja tu jeans hizi pale zilipo chanika zina endelea kuchanika eidha ukifua au ukiwa ume kaa uka kunja goti basi taflani, hizi ndivyo unavyo weza kuzia tatizo hilo,

GUNDI YA NGUO
 
Tumia gundi ya nguo kupaka kwenye kingo ya sehemu zilizo chanika, anza na ndani paka acha gundi ikauke kisha hamia nje lakini ni vizuri pia ukaweka kibao katikati ili kuzuia suruali hio kugandana. Pia chagua gundi nzuri nyingine zinaweza kukuharibia nguo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…