Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Imekaa vizuri hii,ila naanza kuona kupotea kwa mapato ya viingilio,,,

Imagine fainali ipigwe Morocco halafu moja ya timu itoke Uganda halafu nyingine itoke Guinea,,unafikiri timu hizi zitamudu kwenda na mashabiki kule Morocco ikiwa uchumi wa mataifa mengi barani Africa unafanana

Btw hongera kwa Rais mpya wa Caf kuna vingi vipya anazidi kuboresha japo ana mapungufu yake pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…