Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Indeed wallahi ai tachi niu mane everedei and Masaki Peninsula is my home japo kwa sasa nimehamia Dubai Lucifer Orijino is mai neimu [emoji16][emoji16][emoji16]Binti Mpole atakuwa anatishika na Hashtag za
#itachinyumaneeveriday
Acha hizo mlikua mnammezea mateHuku Catalonia Weekend kila siku siyo mpaka Friday, naona juve wamesaini beki wa hovyo
Jukwaa la Wakubwa [emoji16][emoji16][emoji16]Sisi tusiopenda 'like' tuna-comment wapi?
Swali rahisi. King wa kuzinduliwa ndani na nje ya uzi huu ni nani?ukipata jibu imagine kila mwaka mswati anakula vipya vipya anafungua mwenyewe kifungashio kipyaaaaaa
Hahaha! I seeKing come see this answer here. Mechiii !!![emoji351][emoji351][emoji351]
Huwa najisikia vizuri sana nikipewa shikamoo kwa sababu umri wangu unaniruhusu. Natamani sana maandaeitini wote humu muwe mnanipa shikamoo. Kulikuwa na mmoja tu aliyekuwa ananipa shikamoo consistently ila naye siku hizi keshaacha. Itafurahisha ukichukua nafasi yake.
Zeafo; naitikia shikamoo yako kwa heshima kubwa na taadhima: Marahabaaaaaaaaaa !!!
Griezman[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
aaaah wapi!!Tupo wengi ee
Kazi kwelikweli.. kesho ntakuwa sina MB ujue!Kesho nitaamka mapema na kujisopusopu tayari kusubiria shikamoo yako. Hata breakfast sitakula mpaka niipate kwanza
Ntakua nafatilia mechi za barca kisa griezmanDaaaah
[emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umeibuka ghaflaaaaaaah wapi!!
Kila kitu humu ndani inabidi ufurahi tu maana ukikasirika utazeeka mapema. Ata wewe nakuona upo vizuri unajua kwenda sawa na wanajamii 😀Ah, hapo kwenye kujua alipataje uking bado sijafahamu kiukweli...ila jina naliona ona akiitwa na anafurahi kweli[emoji23]
Hili la kwako nilitambulishwa na wewe pindi mnanipokea..!
Powa sana bro. Asante kwa kutuchangamshia uzi leo. Ai saluti yu !!!Kwema lakini bro?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umeibuka ghaflaaa
Shikamoo kaka.Powa sana bro. Asante kwa kutuchangamshia uzi leo. Ai saluti yu !!!
Si nasikia katoka, kaenda kupokea tuzo yake. Au kuna mtu kamuacha?PM kwa melo
Marahaba young bro. Kwema huko kwako?Shikamoo kaka.
Aaah burazaSiunajua mimi uwezo wangu wa bundle mdogo....
Acha hizo bana. Ukose MB wewe? Akina sie sasa itakuwaje?Kazi kwelikweli.. kesho ntakuwa sina MB ujue!