The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
Labda, Mie linanipa tabu tu[emoji19]Basi mtakua mnaenjoy sana kwakweli
Labda, Mie linanipa tabu tu[emoji19]Basi mtakua mnaenjoy sana kwakweli
Aende tu akapige pesa za mwisho mwishoKlabu ya ligi ya Uchina Beijing Guoan wamepania kumsajili winga wa Real Madrid Gareth Bale. Klabu hiyo, ina mpango wa kumfanya winga huyo mwenye miaka 30 kuwa mchezaji anayelipwa zaidi katika ligi ya Uchina. (telegraph)
Huyu naye wa kuondoka tuKiungo wa kati wa Liverpool na Uingereza James Milner ,33, amesema hajui hatma yake katika klabu hiyo licha ya kwamba anataka kusalia. (Liverpool Echo)
Duh! Pole sanaLabda, Mie linanipa tabu tu[emoji19]
Gunners wamechemka kabisaBayern Munich wanapigiwa upatu kumsaini winga wa Ivory Coast Wilfried Zaha ,26, baada ya kushindwa kumsaini Leroy Sane na Gareth Bale. (90min)
Hahahaha inawezekanaPita huko utamkuta akiwachamba "New Day ati ni mashoga", hasa yule mwenye mbavu nene anayependa kukata mauno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089]
TeteteteNipe link ndiyo nitaamini. Tomaso miye [emoji16][emoji16][emoji16]