Basi ni kheri kama u mzima.Safi sana bro, kweli tumepotezana
#inaonekanamajukumuyamekushika
Hasa sisi wenye michepuko ni balaa kwetu
Salama Esta?Marahabaaa [emoji125][emoji125][emoji125]
Hahahaha SI unit of power what hahahaha
Mkuu mkuuHili chenza hili kuna wakati lilikuwa ndo habari ya mjini [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1160651
TeteteteteUle hivi ndo uende kupiga makasia ziwani poti kweli utarudi na samaki? Huu ni msosi wa kuendea mjini kununulia roses na magauni ya bluu tu indeed wallahi [emoji16][emoji16]
Hahahaha SI unit of power what hahahaha
Du naona UK ikijitoa EU101% poti [emoji3][emoji3]
Nipo njia kuu mkuu lakini lazima ubaki kuwa ukweli kuwa na mwanamke mmoja ni sawa na kuwa na nchi ya mfumo wa chama kimoja cha siasa tu vyama vingi ndio mpangoDaa, poti umekiri hadharani kama wewe ni mchezeshaji kiungo, zamani wakiitwa halfback six! [emoji1][emoji1]... Baki njia kuu poti!
Nimecheka sana potiTeacher wa dot com, hatofautishi What na Watts. [emoji3][emoji3]