Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nipo njia kuu mkuu lakini lazima ubaki kuwa ukweli kuwa na mwanamke mmoja ni sawa na kuwa na nchi ya mfumo wa chama kimoja cha siasa tu vyama vingi ndio mpango

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huu msosi unarudi na Sato tena wale wakubwa kabisa na wale Samaki wengine wenye vichwa vigumu kabisa(Gogogo). [emoji3][emoji3] Halafu kasia unapiga vizuri tu!
Hamna kitu poti. Huu ni wa kula wakati unakwenda kukatembelea Kazaramo kako unakokapelekeaga maua na magauni ya bluu. Na kwenyewe kakikuchenjia gemu na miuno feni waweza chemsha...

Ongezea na ugali wa mihogo (udaga) na sato hevi hapo pembeni ndo tuongee poti [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…