Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Duh! Hizo takwimu sikumbuki mara ya mwisho nimeziona lini mzee, kuna watu hawajapita Lamasia ila wanayo damu ya hapo
Mkuu mm sina hiyana wadau mbona wote wanapata kama kawa hata ya baba Askofu niliwapatia hii nayo inawajia kama kawa PMUbaya wako huwa hupendi kabisa kushea hizi pilau. Hata ile nyingine ya Amber Rutty akiambarutiwa upya pia uligoma. Unazingua !!!
HahahahaVizee vichawi hivi dah !!!
Hapa mpaka mtu afe ndo vinapumzika [emoji16][emoji16][emoji16]
Wapi jakitooMtoto ni afya...
View attachment 1160800
Nimekanyangia hizo..Acha tu bro
Mguu wake umewekewa Ubongo kidogo.... Ila unavyomtoa Raktic kama unamkosea heshima hivi jamaa anatakiwa kutoka kwa heshimaEbana Hii ni bright future kabisa huyu dogo anamwingi sana. Yaani Mguu wake kama sumaku uza Rakitic yule
Nimekuona mkuu nilitoka kidogo nje ya mtandao mambo ya makonyagi ni shida kidogo