Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji120][emoji120]
 
Mtu akiangalia hizo namba anaweza asijue ni nini au ukubwa wake lakini ni ngumu na haiwezekani kuziona sememu nyingine tofauti na hapo zilipo

Kabisa Mkatalunya huwezi kuzipata kwingine kokote zaidi ya hapo na namba aziongopi kabisa aisee Everything he touches turns to Gold alisikika mchambuzi mmoja hivi kutoka koromije asiione hii Binti Mpole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…