ZLATAN IBRAHIMOVIC
Kama ilivyo kwa Rooney, Nyota huyu wa zamani wa Malmo, Ajax, AC Milan, Inter Milan, Juventus, PSG, Barcelona na Manchseter United. Ndiye kinara wa mabao wa taifa lake la Sweden. Zlatan Ibrahimovic, bado anaendelea kukiwasha huko Marekani.