Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Alipaswa kustaafu mwaka huu, lakini kufungwa kwenye fainali ya Copa Libertadores, na mahasimu wao River Plate, kulimfanya aahirishe uamuzi huo, kwani kwa mujibu wa kauli, atahahakisha wanatwa ubingwa huo, kabla hajastaafu. Sijui itakuwa lini?
 
Ili kuthibitisha ni kwanini waingereza wanamuita ‘The White Pele’, yaani Pele Mzungu, Rooney alivunja rekodi ya mkongwe Bobby Charlton, ya kuwa mfungaji bora wa muda wote wa timu ya taifa ya Uingereza na Manchester United.
 
Baada ya kuifungia United mabao 253 katika mashidano yote, yakiwemo mabao 208 kwenye Ligi Kuu England (EPL), alirejea klabu yake ya utotoni ya Everton, kabla ya kwenda Marekani kujaribu soka la huko, akajiunga na D.C United ya Ligi Kuu ya Marekani (MLS).
 
ANDRES INIESTA

Kama kuna mcheaji ambaye La Liga na soka la Ulaya litaendelea kumlilia, basi ni huyu Andres Iniesta.

Hakuna shabiki aliyejianda kutizama mechi za Barcelona bila Iniesta. Huyu alikuwa Maestro, sahau habari za Ronaldinho na Xavi Hernandez.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…