N vizuri kwako hongera...Daah poa sana tena kama leo nimekua na siku nzuri sana, majukumu yamepungua?
[emoji818][emoji818]
[emoji818][emoji818]Real Amber View attachment 1162578
NakaziaSometimes I wish I could get a refund on the time I have invested on people that weren’t worth it.
AmeenMungu atupe afya na uzima
🙏🙏🙏Mungu atupe usiku mwema
#KuchapiwaHakuepukiki bro...
Na ukiona mwanamke bado anawasiliana na ma ex wake basi jua kuwa viporo vitapashwa tu. Na hii ndiyo sababu wanaume wengi huwa wanakwepa kuoa single mothers kwa sababu mwanamke kama hana msimamo jamaa litakuwa linapasha kiporo tu kama kawa...
[emoji872]View attachment 1162643
Kwangu mimi ninachojali ni upendo na kuaminiana bro. Na naamini kabisa kabisa kuwa uoe single mother ama la kuchapiwa kuko pale pale bro....Na wewe unakwepa kuoa single Mother’s bro ???
Kwangu mimi ninachojali ni upendo na kuaminiana bro. Na naamini kabisa kabisa kuwa uoe single mother ama la kuchapiwa kuko pale pale bro....
Afadhali tu arudishe hii orijino [emoji16][emoji16][emoji16]