DAR: MZEE KHAMIS KILOMONI AKAMATWA NA JESHI LA POLISI - Khamis Kilomoni aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Klabu ya Simba amekamatwa leo kwa tuhuma za kuitisha kusanyiko nyumbani kwake bila kibali - Leo Julai 25, 2019, Mzee Kilomoni aliitisha mkutano na Waandishi wa Habari, nyumbani kwake maeneo ya Kinondoni Jijini Dar - Hata hivyo Askari wa Jeshi la Polisi walifika na kumchukua kabla ya mkutano huo na Wanahabari kuanza - Hivi karibuni Mzee Kilomoni aliingia kwenye mgogoro na Mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Umeanza vizuri, umemalizia kwa ukakasi Daah
Mrudishieni timu yake...Njaa inamsumbia sana huyu mzee, ahirumiwe tu
Hili wamemfanyia figisu huyu mzee
Dooh! Pole sana ila majukumu ni muhimu
Unafiki wa binadamu...
View attachment 1162561
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mambo tunayakuza tu haya bro. Kwani hata ukichapiwa ndiyo nini kama mtu mnapendana? Is ngono that important?
Huyu mzee anahoja za msingi sana basi tu mashabiki furaha yetu ni timu kushinda na kuchukua makombeNjaa inamsumbia sana huyu mzee, ahirumiwe tu
Kwangu mimi ninachojali ni upendo na kuaminiana bro. Na naamini kabisa kabisa kuwa uoe single mother ama la kuchapiwa kuko pale pale bro....
Wewe poti mgumu haya mambo hayakuhusu [emoji16][emoji16][emoji16]Poti, haka ka statement kako ka “kuchapiwa hakuepukiki” kana demoralize sana wanaotaka kuingia kwenye hicho chama! [emoji16][emoji16]