Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kimtazamo ndiyo heshima yenyewe ilipo, japo unaweza ukachapiwa na bado ukaigiziwa heshima mi naona ukichapiwa inapunguza vitu flani kwenye uhusiano wako sana sana ukijua

Ngono is not that Important I agree
Kwenye haya mambo ni kila mtu na falsafa zake (binafsi) na mamizigo aliyobebeshwa na jamii. Mfumo dume wanaume umetuharibu. Tunaumia tukichapiwa wakati sisi michepuko na kuchapa nje tunachukulia ni kama halali yetu.

Kama unachapa nje kwa nini ikuume sana ukichapiwa? Kama siyo unafiki ni nini?
 
Leo kuna jamaa yupo kanda Maalumu kanitumia picha mtu kakatwa kichwa sijui niziweke humu au nitalimwa ban ?

Watu wa mara sijui wanashida gani
Nitumie PM bro...

Mkurya aisee ukimkorofisha akawaka hakuna kurudi nyuma. Kucharangana mapanga yaani kawaida tu...

Kakatwa kichwa kwa sababu gani? Kafumaniwa ama?
 

Hapo nakubaliana na wewe kabisa bro tena asilimia 200% mfumo dume umekosea na ni unafiki, Mimi concern yangu ni wale ambao hawachapi lakini wanachapiwa hawa ndiyo concern yangu ipo sana kwao

Wale Wanafiki achana nao ?
 
Kuachwa baada ya kuingia katika mahusiano ni jambo ambalo hutokea mara kwa mara. Lakini wengi hawajui kuwa kila mara ukivunjwa moyo na mpenzi wako kuna hatua ambazo lazima uzipitie kabla ya kurudi kuwa kawaida. Leo tumeandika hatua ambazo mtu hupitia wakati ambapo ameachwa na mpenzi wake.
Hizi ni hatua mtu hupitia akiachwa na mpenzi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…