😂😂😂😂
Safi sana ila ukarimu wa jamaa mkubwa mpaka unaogopeshaSababu kubwa ya Uhuru Kenyatta kurudisha dhahabu ya Tanzania ilikuwa hii
Wengi hawajaliona hilo, kwamba Kenyatta mara kadhaa amejaribu kumfundisha uungwana na ujirani mwema Magufuli. Tunaanza na suala la kampeni za uraisi Kenya. Tofauti na protokali za nchi, Magufuli alionyesha waziwazi kumuunga mkono Raila dhidi ya Uhuru. Raila alshindwa lakini hilo halikuwa neno...www.jamiiforums.com
🙏🙏Michelangelo; Genius aliemchallenge vikali Leonardo Da Vinci kwenye kazi za Sanaa
Good day wakuu! Baada ya kupona dhoruba la kunyimwa Uhuru wa kubanguana bongo....tuendelee kupeana vitu adimu na adhimu kwa afya ya ubongo..maandishi yenye kuprovoke thought and intellectual curiosity.. Leo nina mood ya kuzungumzia ishu za art kwenye kipindi cha Renaissance era ya...www.jamiiforums.com
Hoja za msingi zipo ila jamaa bhana nimependa jinsi anafikisha ujumbe wakeSemina za kisasa za ndoa zinavyochangia kuharibu ndoa
Modern marriages. Zimejaa must knows nyiingi lakini migogoro ndio inazidi tu kila siku. Jibu la ndoa ni moja tu, nalo ni chungu kama mchunga: mpango wa Mungu ulikuwa mke asiwe amewahi kuonja dyudyu kabla ya ndoa. Mume amjue mke akiwa bikra, hili lina maana kubwa sana. Kufanywa hovyo kabla ya...www.jamiiforums.com
Duh! na baridi yote hii