Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

😂😂😂😂😂😂 aisee
 
Hahah ankooo

Heshima yako ankoo,nyumbani kwema?

Mimi mzima kabsa,naendelea vizuri pia.
 
Hahahahahah uliowataja hamna mpinzani hapo tatizo wasitokee halafu goli la mkono lofungwe na mwingine kabisa ambae hajawahi post ndani ya uzi huu inaumaa

#itachomakamapasi
 
Kongoni ni miongoni mwa wanyama jamii ya swala ambao ni wakubwa kimaumbile. Wanyama hawa wapo kwenye familia moja na wanyama kama Nyati, Nyumbu, Pofu na wengineo katika familia hii. Kuna takribani spishi nane (8) za Kongoni ambazo kati ya spishi hizi nane, spishi moja tayari imekwisha toweka duniani na tatu kati ya saba zilizo baki inasemekana wapo kwenye hatari kubwa zaidi ya kutoweka duniani pia.
 
Kongoni ni wanyama ambao wanapatikana bara la Afrika tu na wameenea maeneo mbalimbali hapa barani Afrika hususani mashariki, magharibi na kusini mwa Afrika. Idadi ya wanyama hawa imekuwa ikipungua kutokana na sababu mbalimbali ambazo kwa undani tuta zizungumzia katika kipengele cha changamoto zinazo wakumba wanyama hawa. Hivyo nakusihi uwe pamoja name hadi mwisho wa makala hii.
 
Wana miguu mirefu, shingo fupi, uso mwembamba na mrefu huku masikio yao yakiwa yamesimama. Wanyama hawa wanapokuwa wamesimama huonekana kama wana mteremko mgongoni kuelekea upande wa nyuma na hii ni kutokana na miguu ya mbele kuwa mirefu kuliko ya nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…