Kwa hyo hawa motivation speaker sio wa kuoa?ama ni tabia yake tu huyu dada??Kuna mmoja alikua anajitapa kaoa msomi sio wenzie waliooa failuree eee bana wee hata miezi sita haijafika ndani vurugu tupu,ka mwanamke ka motivation speaker sijui ndo ka akina joyce kiria type mbona jamaa alikoma,talaka nje nje
#unaemsubiriatakuwaamebong'olewavibayamnoMada za ndoa hasa katika upande wa malalamiko zimekua nyingi sana siku hizi ata ukisikiliza radio au kuangalia Tv issue ni ndoa tu
#Badonitakuwepokuweposana
Hahah!#unaemsubiriatakuwaamebong'olewavibayamno
πππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha bonge la hashtagHahah!
#NingeAnasemakamasioslidHawekindani
Jirani kwema? Nipo ndugu yangu