mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
HahahahaWanaweza. Siku hizi hata kujioa wanajioa wenyewe [emoji16][emoji16][emoji16]
Mzee wa mwakaleli bhanaNgoja nifanye konekisheni na watu muhimu kama SHIMBA YA BUYENZE,Daemusin, moudgulf, myoyambendi, Yegomasika na hawa vijana akina Davet, Bradha, ningendako, Cole pamoja na dada zao akina Fraggy, The Hap ili wakifika post ya 999,995 washituane watoke kwenye uzi, halafu mmoja anipigie simu ili nije kujimwaya mwaya kwa raha zangu...
Jamani konekisheni raha [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
100%Nikweli walikutana wenye Simba yao wakaamua walichoamua sema tatizo sasa kuna hatua za kisheria hawajazifata, pia ata makubaliano waliyokubaliana na Moo kuna vitu bado hajatimiza ndio maana hizi kelele zinatokea.
Kuhusu ulaji ata hao wanaokubali mabadiliko pia wachumia tumbo tu na tayari kuna baadhi yao Moo kishawapa mashavu kwenye baadhi ya Oganizations zake ....
Muwekezaji atimize makubaliano waliyowekeana na sheria ifuatwe hizi kelele ziishe...
Hapana nitakwenda kula kukuSana, tembelea mkuu ukale Bata
Mwache aje tuBado anaivizia ataibuka tu
Kule ulipoenda watu wakaunganisha dotsMambo yote (Nyanda za Juu) Kusini kwenye 5 Star hotel ya Membe aliyoijenga kwa pesa za Kanali Gadafi.
Dah [emoji7][emoji7][emoji7]
[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Kule ulipoenda watu wakaunganisha dots
Hahahahaha#unaemsubiriatakuwaamebong'olewavibayamno
HahahahahaNajiandikia tu...
Gonga likes please [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahaha the one and only ndio mambo yakeIginoa listi
Una mashikolo kibaoUzi huu bana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
FlatDunia Duara