Hivyo panga namna unavyoweza kutembelea hifadhii hii ujionee mwenyewe mambo ambayo ulikuwa unajifunza na kusoma tu shuleni. Karibu sana katika hifadhi hii ya Kilimanjaro.
Uduzungwa ni hifadhi inayopendeza na kuvutia sana. Ni hifadhi iliyosheheni uoto wa asili na kujawa na misitu mirefu na mikubwa, ubichi na kijani kwa mwaka mzima ndiyo mwonekano wa hifadhi hii ya kipekee kabisa.
Vile vile hifadhi hii ni sehemu ya milima ya tao la Mashariki (Easten Arc mountains) inayoanzia katika miinuko ya Taita iliyopo Kusini mwa Kenya mpaka Makambako iliyopo Kusini na katikati ya Tanzania.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.