Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hifadhi hii iliyopo kwenye Mikoa ya Iringa na Morogoro ina ukubwa wa eneo la kilomita za mraba 1990. Ningependa kukujulisha na kukufahamisha baadhi ya mambo mazuri amabayo yatakufanya upange safari ya kutembelea hifadhi hii kabla ya mwaka huu kuisha.
 
FB_IMG_1564211206536.jpeg
 
Maporomoko ya maji
Hifadhi ya Taifa ya Milima Uduzungwa inajulikana duniani kote kwa maporomoko ya maji kutoka umbali wa zaidi ya mita 170, ni hifadhi pekee nchini Tanzania yenye sifa hii, maporomoko haya ya maji yanajulikana kama Maporomoko ya maji ya Sanje (Sanje Waterfalls) ambayo yapo Mwanihana ambayo hapo mwanzo ilikuwa ni Pori tengefu.
 
Maporomoka haya ya maji ndio kivutio kikuu sana kwa hifadhi hii ya Uduzungwa, wageni na watafiti huja hapa kwa ajili ya kufurahia na kujifunza mambo mbali mbali ya maporomoka haya na hifadhi hii kwa ujumla. Kuna rafiki yangu mmoja kutoka Zambia alikuwa ananielezea kuhusu hifadhi hii ya Uduzungwa, nikamuuliza ni kitu gani kime kufurahisha au umekifurahia kwenye hifadhi hii, akasema yani, nilipoona maporomoko ya maji nilisema waooh!, yani alikosa maelezo ya kutosha ya kuelezea uzuri wa hifadhi hii ya Uduzungwa, alisema nimetembelea hifadhi nyingi sana za ndani na nje ya nchi yangu, lakini nilipofika Uduzungwa nilifurahia zaidi kuliko hifadhi zote za kwao. Hivyo Mtanzania mwenzangu ambaye hujafika au hujawahi kuitembelea hifadhi hii unasubiri nini? Panga kuitembelea hifadhi hii kabla yam waka kuisha.
 
Kutembea, kupandisha mlima (Mountain Hiking)
Uzuri wa hifadhi hii ni kwamba kuna ubaridi na kivuli cha kutosha ambacho kinasababishwa na misitu minene iliyopo kwenye milima hii, sehemu nzuri kwa ajili ya kutembea kwa miguu kupandisha mlima ambao umewekewa njia nzuri za wanaotembea, hivyo kufanya sehemu hiyo kuvutia zaidi, wakati wa kupanda mlima huu wenye misitu hii minene utasikia sauti za ndege wanaopatikana kwa wingi maeneo hayo ya mlima.
 
Back
Top Bottom