myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Baada ya kugonga post milioni moja, kuna haja ya kupunguza kutembelea uzi huu sasa. Itakuwa Mission Accomplished [emoji123][emoji123][emoji123]
Tayari nimenunua PopcornKabla ya post ya 1m
naandika kilichoniondoa humu
Kabla ya post ya 1m
naandika kilichoniondoa humu
ππππAndika tujue, maana nilishangaa kujitoa hapa
Hata hakujua mimi nipo vizuriii kunoti IDs na wanayoandika tangu zamani.. nikiamua.