Akatoka huko na kunisoma nikiwa mimi
πππππ
Akatoka huko na mihasira ya kushangilia lori la Mkulu nikiburudika humu.. akaja humu kunifata na kuanza
Duh!!Sasa humu akaanza hata ku C&P anayoninukuu huko nakiyapita na anaona najibu wengine.
Tayari nimenunua Popcorn
Kuandikaa yale nilimu ignore kumjibu sababu niliona anawehuka tu.. na alitaka nimtukane kitu ambacho sio mimi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Naona nyie wakongwe wa uzi ndio mnaelewa vizuri mimi nimeachwaHahahaha...
Mi nina kikombe changu cha kahawa na kashata za ufuta nafutilia mtililiko[emoji23][emoji23][emoji23]