Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wote walianza katika pambano la mwisho la kirafiki la Arsenal dhidi ya Real Madrid siku ya Jumapili, ambapo timu hizo zilitoka sare ya mabao 2-2 na mabingwa hao wa zamani wa Ulaya ingawa baadaye walipoteza kwa mikwaju ya penalti.
 
Mastaa hao sio wachezaji wa kwanza jijini London kuvamiwa na majambazi. Mwaka 2016 mshambuliaji wa West Ham, Andy Carroll alitishiwa na bunduki njiani wakati akielekea nyumbani kwake akitokea mazoezini, lakini alinusurika katika tukio hilo.
 
Motivational speakers hawa na hawa wachungaji uchwara waliogeuka wataalamu wa ndoa badala ya kukazania injili ya wokovu huko makanisani ni shida. Rafiki yangu mmoja anampenda kweli mke wake lakini shida ni huko kanisani kwao. Eti wameambiwa hela za mwanamke ni za Mungu na hazipaswi kamwe kutumika katika familia. Basi mke akipata mshahara karibu wote unaishia kanisani huko. Ndani mke haonekani yaani semina hata ziko Mwanza atasafiri kutoka Dar kuhudhuria. Ndoa inakaribia kufa hivi hivi yaani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…