Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


Hapo wanakosa ule msemo wako,za kuambiwa changanya na zako

Hivi inakuwaje unamsikiliza mchungaji kuliko mume wako na kweli wanawaamini sana watumishi kuliko wanavyojiamini wenyewe

Mambo haya Magumu
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Mi nikioganaizi itadoda...

Nitaleta mamisambwanda ili mabro wafurahie...na wengine mtakereka.

Organize wewe. Najua itakuwa high class balaa...

View attachment 1164908

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bro bhana
 
Hatari sana bro.
 
Watu wa Man city walishinda wakafanikiwa kunichukua......[emoji4][emoji6]


Kweli unashabikia Arsenal?
Ni King na kale kagumu ndo uliwaruhusu wakafanya uharibifu huo?

Ngoja nijipange nije nikuhamishie Aseno. Mwaka huu tuko vizuri sana. Hutajuta kamwe [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 

Hahaha Ndugu yangu bhana

Watu wanafosi sadaka mpaka kibarazani
 
Watu wa Man City ndo wamekuchukua au mpambano uliishia wapi? Mimi nataka nipambane nikuhamishie Arsenal. Kuna uwezekano au Man United nao wapo wanakusubirisha?

Bro unanipa raha sana

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…