Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahah![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#jibuanalomkatalunya
AiseeBikini iligunduliwa 5 July 1946 na mbunifu wa mavazi wa ufaransa Lous Reard.
Mh!Vazi hili limekuwa likiachia maungo ya mwanamke hadharani na kuleta msisimko wa mwili kwa wanaume wenye maadili mema.
Kabisa...Wanaume wengi ni wadhaifu,miili yao ni myepesi kushikwa na ashki hivyo unaweza kusababisha akashindwa akujizuia akakubaka.
[emoji847][emoji8][emoji8]
Binti mpole ulishaandaa wali akauandika bae na Tomato sauce[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#nawewehujui bro?
[emoji23][emoji23][emoji23]FAIDA ZA KUVAA BIKINI
Kwa wale waliolewa,wachumba bikini huleta ushawishi mkubwa hasa kwa wanaume wa kufanya tendo la baba na mama.
Wanawake wengi wanaovaa bikini hujikuta na michubuka hasa katika sehemu za mifereji ya juu ya hajakubwa.
ππππππ[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Hili liuzi kulielewa kuna muda ina sumbua sana, kuna siredi nyingi sana ndani yake.
Kuna kombinesheni ya Davet, ningendako, Bradha na Cole Williams halafu inachagizwa na Numbisa huku washadadiaji Fragaria na The Happiness.... Jamaniiiii[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Huwa nacheka sana hashtag zao...
Kuna vitoto viwili hapo juu vihuni vihuniii
ππππ