Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mshambuliaji wa Wales na Real Madrid Gareth Bale, 30, atalipwa mshahara wa £1.1m kwa wiki na atajiunga na Lionel Messi kama wachezaji wanaolipwa mshahara wa juu zaidi duniani baada ya kukubali mktaba wa miaka mitatu na klabu hiyo ya ligi ya China Jiangsu Suning. (Express)
 
Tupo bro, vipi za weekend?
Wikendi powa. Niliwaona asubuhi na fujo zenu lakini kwa vile nilikuwa katika pilika pilika za kwenda kutubu leo basi nikawachunia tu. Mmemwendesha wa kishua mwenzenu mpaka akakiri kabisa kuwa eti "leo majamaa mmeniamulia". Nilicheka sana aisee. Majamaa yakiamuliaga tena makatalunya anafikiri mchezo?
 
Jambo jema kwenda mbele ya Nyumba ya Mungu kurefresh, maombi yako yapokelewe 🙏

Hahah! Ndio tulipata muda tukakutana hapa na tuliwakilisha vyema kabisa na yule mrembo wa Katalunya
 
Mkufunzi wa Everton Marco Silva anasisitiza kuwa makubaliano hayajaafikiwa na mabingwa wa Ufaransa PSG kuhusu kiungo wa kati Idrissa Gueye, huku mkufunzi huyo wa Ureno akitumai kwamba mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29 atasalia katika uwanja wa Goodison Park. (Liverpool Echo)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…