Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkufunzi wa Everton Marco Silva anasisitiza kuwa makubaliano hayajaafikiwa na mabingwa wa Ufaransa PSG kuhusu kiungo wa kati Idrissa Gueye, huku mkufunzi huyo wa Ureno akitumai kwamba mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29 atasalia katika uwanja wa Goodison Park. (Liverpool Echo)
 
Jambo jema kwenda mbele ya Nyumba ya Mungu kurefresh, maombi yako yapokelewe [emoji120]

Hahah! Ndio tulipata muda tukakutana hapa na tuliwakilisha vyema kabisa na yule mrembo wa Katalunya
Ilikuwa safi sana. Aliposema "Leo majamaa mmeniamulia" basi na akili yangu hii mbovu ikaniwazisha matope kabisa (thriisamu ya wakatulanya) basi nikaona tu afadhali nikazanie kwenda kutubu [emoji16][emoji16][emoji16]

Hapa nilipo nina upako balaa japo sina uhakika nitadumu nao kwa muda gani [emoji16][emoji16][emoji16]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

#Nahisimapemasanautaanzakuchafuadafutari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…