Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pillow talk ni muhimu maana ni muda mzuri unaowaunganisha wote wawili baada ya masumbuko mbalimbali ya kila siku, na maongezi haya hayana usumbufu wa aina yeyote. Mnaweza kuwa mmeshinda wote siku nzima, lakini hiyo unakuwa unakaa na mwenzio kama afiki yako wa kawaida, lakini kitu ambacho mnahitaji ni dakika chache za kutafakari siku ilivyokwenda ili kujisikia kama wapenzi na sio marafiki au mchepuko.

Kuna wapenzi wenye Pillow Talk, na wapo ambao hawafanyi. Wapenzi ambao hawalali husiku wapo lakini hii haileti furaha kama couple ambayo inafanya pillow talk.
 
Mambo ya kuongelea mkiwa kitandani

Je wewe na mpenzi wako ni waongeaji wazuri kabla hamjalala? Kama ilivyo katika maisha, kuna mambo mazuri na mabaya ya kuongelea kitandani. Baadhi ya maongezi yanaweza kukufanya wewe ujisikie upo juu sana katika hii dunia, wakati maongezi mengine yanaweza kukumaliza nguvu na kujisikia kuharibiwa siku kabisa.
 
Sis. Mwachie. Yatosha sasa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1165717

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Eti anamuuliza utavaa nini hapo ukute kijiweni mmepanga mkacheki Game ya El Classico na wadau
 
Tabia yangu ya kudandia treni kwa mbele sometimes huwa inaniingiza kwenye iginoa listi [emoji16][emoji16][emoji16]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Bro Embu nidadavulie hii ignoa list inafanyaje kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…