myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Nipo Tz ndugu yangu ila kuna vitu vinatokea mtu unakua huna uhakika sasa kwa kauli kama hiyo ndio naunga dots sasa
#UleMwingineSasaAya tuambie ulihisi umeona mzigo wa nani
#UwoyaauLwakatale?
Daah! Hatari sana broKwani hujasikia watu wakipotea/kupotezwa kwa sababu zinazodhaniwa kuwa za kisiasa bro?
Bro, lisemwalo kama halipo laja