Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

#7. Masumbuko ya zamani. Story za zamani ni kama movie inayosisimua na kutia hamasa(inspirational movie), sanasana pale yie wawili mnapokua mnapofanikiwa katia jambo fulani baada ya kusumbuka na kujituma sana. Je, nyie wawili mlihatarisha maisha yenu ili kufanikisha mafanikio ambayo mnayo sasa? Kuyaongelea masumbuko yenu ya zamani na matunda mnayoyachuma sasa hivi inawasaidia kupata takwimu ya mambo mliyofanikiwa na kuwapa kiu ya kufanya mengi zaidi ili kuendelea kuimarika kimaisha
 
#8. Ongelea siku yako ilikuaje. Hii aina ya maongezi yanawafanya nyie kuwa karibu katika shughuli zenu za kila siku. Iongelee siku yako, uzuri wako na ubaya wake, ulichofanikiwa na changamoto zilizokukumba na jinsi ya kuzitatua hizo changamoto, na kitu kingine kizuri ambacho kinakufanya ujivuie kwa ile siku kupita.

Kadri mnavyokua mnaambiana kazi zenu za kila siku kwa uwazi, inawafanya nyie mzidi kupendana zaidi na kuwa karibu kimahusiano zaidi kitu ambacho ni vigumu mwingine kuwayumbisha.Itakuwepo nafasi ndogo ya wivu na usaliti, lakini nafasi kubwa ya kuaminiana na kupendana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…