Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahaha, badili mkuu ufaudu Pa...chi za halali ujiepushe na michepuko.
Ulitaka kimbau mbau, utakuwa naye, ukitaka tipwatipwa utasogeza, ukimtaka mweupe, mweusi, mfupi, mrefu utajipatia tu .
Kazi kwako Kamanda[emoji23]
Kuna siku haki ya nani mi ntabadili tu dini liwalo na liwe [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…