Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kabisa yaani. Majimama yenye mamisambwanda ya kufa mtu matatu - mawili meupe marefu na limoja jeusi tii kimo cha kati; na kakimbaumbau kamoja ka kuchangamsha familia. Paradise on Earth indeed wallahi. Ngoja nianze tuisheni ya Kiarabu kwanza asubuhi na mapema. Process za kusilimu zikoje kamanda? [emoji16][emoji16][emoji16]
Maparachichi...
#ButWhy?!?!That is my slogan.
#Anonymousforever
Hivi bro, hawa watu unawatolea black web au?
#UnarushiaKukuPunjeZaMahindiBro
#UgumuwaBandia
#Utabebeshwamizigoyamauampakaufe
#Makontenayamagauniyabluu
#Matengayaviatuvirefu
#Makretiyamvinyo
#BakianaKingMswatiUjifunzembinumpya
Hamna shida bro, najua safari ya kanani sio rahisi ila nitajitahidi.
#IlaNaogopaNyukiSana
Mvinyo siogopi bro.Ila mvinyo huogopi! [emoji16][emoji16]