Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
Ni kweli BroMarahaba sis. Asante sana....
Hivi visa vipo sana. Majuzi tu hapa kule Utah binti kaagiza Uber usiku katoka nje kakuta jamaa ana gari yake hapo kamfungulia mlango binti akaingia hata bila kuuliza. Siku mbili tu wakaokota mwili wake kaharibiwa sana na kuteswa.
Ni vizuri kuwa makini na haya mambo hasa kwenu mabinti...
Pole kwa kifungo. Karibu tena...Hamuyambo yambo humu Wakuu?
Hujakosea [emoji122][emoji122][emoji122]Nunu
Pole kwa kifungo. Karibu tena...
Asante mkuu...karibu tena.Mkuu hongera sana kwa kuikwaa hii namba kubwa ambayo wengi tulikuwa tunaiwania, hongera sana.
hahaha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
#kumbekamamimitu
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1168048
Kuna tofauti kubwa kati ya milo hii miwili [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1168049
View attachment 1168050
Asante mkuu...karibu tena.
Hamuyambo yambo humu Wakuu?