Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hakuna wa kumshinda Trump hapa. Wanapoteza muda tu...
Jamaa kaibadili dunia nzima. Wazungu duniani kote sasa wamesimama imara kujilinda...
Hivi mapinduzi ya Sudan yalifikia wapi? Au yamekwama kama yale ya Misri, Libya na kwingineko?
Wasukuma hao.Wanakaa bafuni dakika 30,dakika 5 kuoga,dakika 25 kuosha yeboyebo
Inkoskazi. Shoka la UmslopagaziKifaa cha kulia chapati zao...hahaView attachment 1168359
John kafanya nini?
Kuna yale yaliyofanyika ya kumng'oa madarakan Omar Al Bashir miez michache iliyopita,,baada hapo nafikiri kinachotokea hv sasa ni hali ya aman bado haijawa shwar...Hivi mapinduzi ya Sudan yalifikia wapi? Au yamekwama kama yale ya Misri, Libya na kwingineko?
Ashukuriwe huyu kamanda [emoji116][emoji116]
Haha bro mimi sijataja kitu hahaWasukuma hao.
Tunawajua hata usipowataja [emoji36][emoji36][emoji36]
Aisee,,abarikiwe sanaAshukuriwe huyu kamanda [emoji116][emoji116]
View attachment 1168382
Nasikia wajeda wamekubali raia wachache washiriki katika kuunda serikali mpya ila wenyewe (wajeda) ndiyo washikilie nafasi zote za muhimu. Raia imebidi wakubali tu kwa sababu wajeda subira imewaisha na tayari walikuwa wameanza kuua...Kuna yale yaliyofanyika ya kumng'oa madarakan Omar Al Bashir miez michache iliyopita,,baada hapo nafikiri kinachotokea hv sasa ni hali ya aman bado haijawa shwar...
Ngozi nyeusi tumejaa na tamaa ya madaraka bro,hata atakaeingia pia anakuwa na uchu wa madaraka
Haha bro mimi sijataja kitu haha