Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Japo kajipachika cheo cha uHomo Sapiens, binadamu anaweza kurubuniwa kirahisi tu mpaka hata kujitoa uhai wake. Ndivyo cults nyingi zinavyofanya kazi. Ni mind manipulation tu wala hakuna cha ajabu sana japo huku kwetu na nguvu za Lucifer si ajabu zikawa zinatumika.Sasa hapo huu upuuzi wanaokuanao unaletwa na nini, hao wachungaji wanayo nguvu ya ziada kupumbaza waumini wao au ni imani binafsi tu ya waumini?
Mna bahati kwa vile Binti Mpole keshasema hatoi povu kizembe ila msizowee [emoji16][emoji16][emoji16]Kumbe unajua soccer bro
Kila kitu. Majukwaa yote ya JF (isipokuwa la wakubwa) yapo hapa.Hivi hapa huwa mnazungumza kuhusu nini