Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hauwezi kujua kitakachotokea katika soka. Hajaweza kufanya mazoezi, ilibidi tumrudishe nyumbani. Bado tulikuwa na matumaini angeweza kuwa fiti kwa safari za Australia, Shanghai na Singapore. Lakini kwa safari hii fupi hakukuwa na haja ya kumleta.”