Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mimi naona Man united hawataki Pogba aondoke. Naona wanamletea kabisa na Rafiki yake. Dybala ni rafiki mkubwa wa Pogba.
Pogba yeye kama yeye sio tatizo. Ndo maana man u hawamchoki ila Tatizo ni wakala wake jamaa anapenda sana pesa yule bonge la tapeli. Analeta utata kwa wachezaji anaowasimamia. Dili la kwenda madrid lingefanikiwa sema madrid hawampend wakala ndo maana hawajawekeza nguvu nyingi kumchukua pogba.
 
Karibuuu
IMG-20190801-WA0071.jpeg
 
Pogba yeye kama yeye sio tatizo. Ndo maana man u hawamchoki ila Tatizo ni wakala wake jamaa anapenda sana pesa yule bonge la tapeli. Analeta utata kwa wachezaji anaowasimamia. Dili la kwenda madrid lingefanikiwa sema madrid hawampend wakala ndo maana hawajawekeza nguvu nyingi kumchukua pogba.
Raiola mshenzi sana yule alichowafanyia PSG kuhusu Deligt sikuamini. Anawaaminisha atakwenda PSG mwishowe kampeleka Juve. Hivi kwani hairuhusiwi kuvunja mkataba na manager?
 
Kwa msingi huu kumbe binadamu yeyote anaweza kumanipuletiwa akijaa kwenye 18 za majamaa.....

Mungu atupitishie mbali hawa manipulators
Ukiingia kwenye anga zao sawasawa huchomoi. Ni sawa sawa na wanaosemaga kuwa mi siwezi kutapeliwa akija kushtuka tayari keshapigwa.

Shoko Asahara, kwa mfano, wengi wa wafuasi wake walikuwa wasomi na wanasayansi nguli lakini aliweza kuwarubuni na kuwafanya wafanye alichotaka...
Screenshot_20190801-100428~2.jpeg
 
Ukiingia kwenye anga zao sawasawa huchomoi. Ni sawa sawa na wanaosemaga kuwa mi siwezi kutapeliwa akija kushtuka tayari keshapigwa.

Shoko Asahara, kwa mfano, wengi wa wafuasi wake walikuwa wasomi na wanasayansi nguli lakini aliweza kuwarubuni na kuwafanya wafanye alichotaka...
View attachment 1169434
Duuh! Hatari sana bro
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapa lazima akimbie

#kunamadaanazikwepasana

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naona unanipigia pasi za Messi wakati Mimi striker butu

#nilipitamitaaflanighaflanikasikiavipiMkatalunya
#mzeewahijabuakakirikwambapasiumetoawewe
 
Waafrika hatuna kawaida ya kufatilia matatizo ya kisaikolojia na hatuna wataalamu waliobobea,mwisho wa siku wanaibuka manabii wa uongo wanazoa kijiji cha machizi wanaojiona wapo sawa ila wamerogwa tu
Siyo Waafrika pekee. Hata Ulaya na Marekani watu wanapigwa tu. Kuna mchungaji hapa mwaka jana aliwaambia waumini wake kuwa Mungu kamwambia anunue ndege binafsi ya dola milioni 54 (long range executive Gulf Stream Jet). Kwa vile ni kanisa kubwa na wako maelfu waumini wakajinyima wengine mpaka kuuza nyumba zao na kutumia savings zao zote ili kumuwezesha. Ilichukua miezi mitatu tu hela zikapatikana ndege ikanunuliwa. Ndege yenyewe ni custom made na ina hadhi kuliko hata za akina Bill Gates. Ajabu sasa waumini wake wengi ni masikini na wametoa kila kitu walichonacho. Wengine wazee hata hela za kununulia dawa wakiumwa hawana. Ila Mchungaji kapata jet yake ya kumrahisishia usafiri kueneza Injili.
 
Back
Top Bottom