Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Juventus iliingilia kati na kuipa United ofa ya Pauni 10 milioni pamoja na mastaa wake wawili, Dybala na Mario Mandzukic lakini ni Dybala ndiye ambaye ameukonga moyo wa Kocha Solskjaer na sasa amekubali kubadilishana naye na Lukaku.
 
TAYARI mchezo umeisha. Wakubwa wameafikiana kwamba Romelu Lukaku aende Juventus na Paulo Dybala aende Manchester United. Hii ni kiroho safi bila ya ugomvi na anayesubiriwa kwa sasa ni Dybala kukubali dili hilo.
447819521_237136.jpeg
 
Na sasa anayesubiriwa ni Dybala tu kukubali dili hilo na kukubaliana maslahi binafsi na Manchester United huku ikielezwa staa huyo ana nafasi kubwa ya kukubali uhamisho huo baada ya nafasi yake ya kucheza kikosini Juve kupungua tangu kutua kwa Cristiano Ronaldo kutoka Real Madrid katika dirisha kubwa la majira ya joto mwaka jana.
 
Kwa sasa kila kitu kwenye Ugalatia kinawezekana aisee. Yanafanyika mambo ya ajabu sana. Huyu jamaa aliyemleta huyu yesu wake nasikia ana waumini kibao tu na hapo hata akiwaambia wauze vyote walivyonavyo waende na huyo yesu trust me wengi tu watafanya hivyo. Na wengine utakuta ni wasomi kabisa hata kiwango cha PhD....
Wajinga sana hao watu. Bora kagame kabana haya makanisa yanayozuka kila kukicha
 
Japo kajipachika cheo cha uHomo Sapiens, binadamu anaweza kurubuniwa kirahisi tu mpaka hata kujitoa uhai wake. Ndivyo cults nyingi zinavyofanya kazi. Ni mind manipulation tu wala hakuna cha ajabu sana japo huku kwetu na nguvu za Lucifer si ajabu zikawa zinatumika.
Kwa msingi huu kumbe binadamu yeyote anaweza kumanipuletiwa akijaa kwenye 18 za majamaa.....

Mungu atupitishie mbali hawa manipulators
 
Sasa hapo huu upuuzi wanaokuanao unaletwa na nini, hao wachungaji wanayo nguvu ya ziada kupumbaza waumini wao au ni imani binafsi tu ya waumini?
Waafrika hatuna kawaida ya kufatilia matatizo ya kisaikolojia na hatuna wataalamu waliobobea,mwisho wa siku wanaibuka manabii wa uongo wanazoa kijiji cha machizi wanaojiona wapo sawa ila wamerogwa tu
 
Kwa upande wa Lukaku, staa huyo wa zamani wa Everton na Chelsea amekuwa akichukua kiasi cha Pauni 200,000 kwa wiki tangu atue klabuni hapo miaka miwili iliyopita. United itanufaika kwa kumpa Dybala mshahara wa chini ya dau hilo ambalo inatazamiwa kumpa Pauni 176,000 kwa wiki.
 
Sipo hapa kuongelea kuhusu uvumi wa wachezaji wa timu nyingine. Lakini ni kweli kwamba tunafanyia kazi uhamisho wa mchezaji mmoja au wawili kama nilivyosema hapo awali. Kuna siku nyingine kumi kabla ya kuanza kwa ligi na tuna matumaini tutakuwa na sura moja au mbili mpya,” alisema Solskjaer.
 
Back
Top Bottom