Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Aah kumbe mana sie huwa tunaangalia posts tuNilimaanisha pages. Sorry.
Kweli huku ni kurogwa eti mtu yupo Chuo ananunu kwa mchungaji Peni ya Obama elfu15 akafanyie mtihani ili afauluWaafrika hatuna kawaida ya kufatilia matatizo ya kisaikolojia na hatuna wataalamu waliobobea,mwisho wa siku wanaibuka manabii wa uongo wanazoa kijiji cha machizi wanaojiona wapo sawa ila wamerogwa tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]chizi kabisa huyo. Nimebaki kanisa kongwe,siwaamini hao manabiiKweli huku ni kurogwa eti mtu yupo Chuo ananunu kwa mchungaji Peni ya Obama elfu15 akafanyie mtihani ili afaulu
Hapa unapost chochote unatoa thanks unapewa thanksHapa kweli ni stress free zone hakuna kupopoana. Hongereni wapendwa.
Mimi naona Man united hawataki Pogba aondoke. Naona wanamletea kabisa na Rafiki yake. Dybala ni rafiki mkubwa wa Pogba.Huku Pogba mwenyewe akiweka wazi nia yake ya kuondoka akatafute changamoto mpya na wakala wake Raiola kusisitiza wanamtafutia timu, Sheringham anaona kwamba United ni vyema kuchukua mkwanja wa mauzo ya kiungo huyo na kutafuta jembe jingine lenye mapenzi na klabu hiyo ya Old Trafford.
Asante sanaHapa kweli ni stress free zone hakuna kupopoana. Hongereni wapendwa.
Kumbe umepotelea humu wa ng'wise. Haujambo lakini?[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1169428