Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Shwain kabisa na peni yake sikutaka kuishika nilihisi ingenivuta huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]chizi kabisa huyo. Nimebaki kanisa kongwe,siwaamini hao manabii
#ilasiokatoliki
Pogba yeye kama yeye sio tatizo. Ndo maana man u hawamchoki ila Tatizo ni wakala wake jamaa anapenda sana pesa yule bonge la tapeli. Analeta utata kwa wachezaji anaowasimamia. Dili la kwenda madrid lingefanikiwa sema madrid hawampend wakala ndo maana hawajawekeza nguvu nyingi kumchukua pogba.Mimi naona Man united hawataki Pogba aondoke. Naona wanamletea kabisa na Rafiki yake. Dybala ni rafiki mkubwa wa Pogba.
Hahaha afadhali,ingekuharibia sikuShwain kabisa na peni yake sikutaka kuishika nilihisi ingenivuta huko
#tunajuanisabato
Mkuu mchana yako imeisha vyema kabisa
Raiola mshenzi sana yule alichowafanyia PSG kuhusu Deligt sikuamini. Anawaaminisha atakwenda PSG mwishowe kampeleka Juve. Hivi kwani hairuhusiwi kuvunja mkataba na manager?Pogba yeye kama yeye sio tatizo. Ndo maana man u hawamchoki ila Tatizo ni wakala wake jamaa anapenda sana pesa yule bonge la tapeli. Analeta utata kwa wachezaji anaowasimamia. Dili la kwenda madrid lingefanikiwa sema madrid hawampend wakala ndo maana hawajawekeza nguvu nyingi kumchukua pogba.
😂😂😂😂Hahaha afadhali,ingekuharibia siku
#naonaunapigaramli
#nasalijumapilisiojumamosi
Ukiingia kwenye anga zao sawasawa huchomoi. Ni sawa sawa na wanaosemaga kuwa mi siwezi kutapeliwa akija kushtuka tayari keshapigwa.Kwa msingi huu kumbe binadamu yeyote anaweza kumanipuletiwa akijaa kwenye 18 za majamaa.....
Mungu atupitishie mbali hawa manipulators
Hahah!Mkatalunya
#napatamadinihapayamessi
Hawana jipya [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Kwa hizi takwimu inaonyesha Man U wanatoa Mbuzi wapewe Mbuzi
Bro, tuelewane kwanza: Tunazungumzia nyama gani? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]Hahaha hakuna kitu napenda kwenye msosi kama nyama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duuh! Hatari sana broUkiingia kwenye anga zao sawasawa huchomoi. Ni sawa sawa na wanaosemaga kuwa mi siwezi kutapeliwa akija kushtuka tayari keshapigwa.
Shoko Asahara, kwa mfano, wengi wa wafuasi wake walikuwa wasomi na wanasayansi nguli lakini aliweza kuwarubuni na kuwafanya wafanye alichotaka...
View attachment 1169434
Mwanamke msomi kabisa ananyweshwa uji wa mchungaji ili apate mimba wakati hospitalini madaktari wameshasema hana uwezo wa kushika mimba...Kweli huku ni kurogwa eti mtu yupo Chuo ananunu kwa mchungaji Peni ya Obama elfu15 akafanyie mtihani ili afaulu
😂😂😂😂 hapa lazima akimbieBro, tuelewane kwanza: Tunazungumzia nyama gani? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Hahah!
#Nanianatoahuuushuhuda
Bro, tuelewane kwanza: Tunazungumzia nyama gani? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapa lazima akimbie
#kunamadaanazikwepasana
Siyo Waafrika pekee. Hata Ulaya na Marekani watu wanapigwa tu. Kuna mchungaji hapa mwaka jana aliwaambia waumini wake kuwa Mungu kamwambia anunue ndege binafsi ya dola milioni 54 (long range executive Gulf Stream Jet). Kwa vile ni kanisa kubwa na wako maelfu waumini wakajinyima wengine mpaka kuuza nyumba zao na kutumia savings zao zote ili kumuwezesha. Ilichukua miezi mitatu tu hela zikapatikana ndege ikanunuliwa. Ndege yenyewe ni custom made na ina hadhi kuliko hata za akina Bill Gates. Ajabu sasa waumini wake wengi ni masikini na wametoa kila kitu walichonacho. Wengine wazee hata hela za kununulia dawa wakiumwa hawana. Ila Mchungaji kapata jet yake ya kumrahisishia usafiri kueneza Injili.Waafrika hatuna kawaida ya kufatilia matatizo ya kisaikolojia na hatuna wataalamu waliobobea,mwisho wa siku wanaibuka manabii wa uongo wanazoa kijiji cha machizi wanaojiona wapo sawa ila wamerogwa tu
Hakika kamvisha vyema mashada King LeoMchambuzi mmoja wa Spain wanamwita Balague