Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Katalunya hakuna Striker butu na sitaki kuamini kwamba umekuja kama mamluki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naona unanipigia pasi za Messi wakati Mimi striker butu
#nilipitamitaaflanighaflanikasikiavipiMkatalunya
#mzeewahijabuakakirikwambapasiumetoawewe
Sijambo bageshi. Ulimhola?Kumbe umepotelea humu wa ng'wise. Haujambo lakini?
Kamanda, utani kama huo huwa haupendi kujibiwa kwa facts. Ukifanya hivyo unaharibu [emoji16][emoji16][emoji16]
Too obvious. Si angalau lionekane natural kidogo?
Nimefika mbele halafu nyote ndo mmetawanyika? Hamfai [emoji36][emoji36]
Ila wanaume sisi basi tu...I don't deserve you