Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nipoo Daddy....

Habari ya siku nyingi?
Mimi sijambo kabisa. Nafurahi kukuona hapa. Usiwe unapotea sana bana ...

e79992ae-5b18-4046-a8fe-e1b430240eef~2.jpeg
 
Je wewe unapenda kiporo? Basi leo nna habari njema juu ya kiporo unachokula.

Tamaa kubwa ya watu wengi iko kwenye chakula. Wengi tunapenda kula vizuri kuliko kitu kingine chochote kile maishani. Ukiangalia uswahilini kwetu ugomvi mkubwa huanzia kwenye chakula, ndoa huanza kupata nyufa kutokana na chakula na mengine mengi tu yanaanzia kwenye chakula. Uswahilini kwetu chakula ndio hutawala maisha.
 
Back
Top Bottom