Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Demokrasia haina sura moja poti...huoni Wamarekani wanavyohangaika kueneza ya kwao huko Iraq na Afghanistan? Wamarekani wenyewe unafikiri wana demokrasia - hasa kipindi hiki cha huyu ngosha?Halafu unakuta watu kama hawa wana preach Democracy kwa nchi zingine. Politics over my dead body!
Kazi unayo ya kugonga likes tena pevuu [emoji16][emoji16][emoji16]Nimekosekana hapa kwa masaa 23 yaliyopata
Sijapata hata[emoji41]Daah! Sio mbaya lakini naimani tokeo umepata?
Mmh hata sikuangalia live. Liver bila mane duh#Achatamaa
Alichemka leo kama ulimfatilia