Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Demokrasia haina sura moja poti...huoni Wamarekani wanavyohangaika kueneza ya kwao huko Iraq na Afghanistan? Wamarekani wenyewe unafikiri wana demokrasia - hasa kipindi hiki cha huyu ngosha?
[emoji818][emoji818]
[emoji818][emoji818]
Safi kama pamba
Pole sana..! Nini zaidi jamani.?
Asante sana mzee, umemuona Rodrigo muda wote anauomba
Vipi hao Wakatalunya kikosi kimetoka?